Friday, November 27, 2020

DK TIBOROHA AWAPIGA DONGO VIONGOZI YANGA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA CLARA ALPHONCE

ALIYEWAHI kuwa Katibu Mkuu wa  Yanga, Jonas Tiboroha, amesema kutowajibika ipasavyo kwa uongozi wa klabu hiyo ndicho chanzo cha mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara kuondolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika.

Yanga iliondolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa faida ya bao la ugenini baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-0 nyumbani kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam na Zanaco ya Zambia kabla ya suluhu kwenye mchezo wa marudiano.

Akizungumza na BINGWA, Tiboroha alisema viongozi wa klabu hiyo hawakutimiza ipasavyo majukumu yao hatua iliyosababisha iondolewe mapema kwenye michuano hiyo.

Pia alisema kutokuwa na kikosi kipana kinachoweza kushindana na kupata matokeo ni sababu nyingine iliyosababisha timu hiyo kufungashiwa virago.

“Huu ni wakati wa kuangalia uongozi ulijikwaa wapi na kujirekebisha mapema, ili timu iweze kufanya vizuri katika michezo yao ijayo ya kimataifa na ligi kwa ujumla,” alisema Tiboroha.

Alisema kuhusu wigo mdogo wa wachezaji hilo limekuwa ni tatizo kubwa, kwani timu nyingi za Ligi Kuu Tanzania hazina wachezaji imara wengi na hilo linapelekea mchezaji mmoja au watatu wasipokuwapo basi timu nzima imepoteza mwelekeo.

“Mfano Yanga wakati wanashiriki michuano hiyo wachezaji wengi walikuwa na majeraha, hili nalo lilichangia kwa kiasi kikubwa kutopata matokeo mazuri kwenye  mechi yao na Zanaco,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -