Sunday, January 17, 2021

DORBA WAIANGUKIA SERIKALI

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA

UONGOZI wa Chama cha Kikapu Mkoa wa Dodoma (Dorba) umeiangukia Serikali ya mkoani hapa ikiomba kuwapatia eneo la ardhi kwa lengo la kujenga uwanja wa kisasa wa mchezo huo.

Akizungumza na BINGWA jana mjini hapa, Katibu Mkuu wa Dorba, Benson George, alisema sababu kubwa ya kuomba eneo inatokana na mkoa huo kuwa Makao Makuu ya Nchi.

Alisema kama makao makuu yako hapa wana wajibu wa kuwapatia eneo kwa ajili ya kujenga uwanja wa kisasa ambao utaendana na hadhi ya kimataifa.

“Kila mtu anajua jinsi mchezo wa kikapu ulivyo na faida kwa vijana wa Kitanzania, tuna mfano wa Hashim Thabit na wengine wengi hivyo tunaiomba Serikali ya mkoa

watupatie eneo la kujenga uwanja,” alisema.

George alisema Dorba wamejipanga kuuendeleza mchezo huo kufuatia mkoa huo kuwa na vyuo vingi hivyo una wachezaji wengi.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -