Thursday, October 29, 2020

DOUGLAS COSTA KUPIGWA RUNGU ZITO SERIE A

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

TURIN, Italia


 

STAA wa Juventus, Douglas Costa, anatarajiwa kupewa adhabu ya kutocheza mechi tatu kwa makosa yake ya kumpiga kichwa na kumtemea mate mchezaji wa Sassuolo, katika mchezo wa Serie A uliochezwa wikiendi iliyopita.

Tukio hilo la Costa lilipunguza kwa kiasi kikubwa habari ya jana ya Cristiano Ronaldo kufunga mabao yake mawili dhidi ya Sassuolo na kwa vitendo hivyo, Mbrazil huyo anakabiliwa na hatari ya kutocheza mechi kadhaa za ligi.

Zikiwa zimesalia dakika chache kabla ya mchezo huo kumalizika, winga huyo alianza kwa kumchezea vibaya beki Federico Di Francesco kabla ya kumpiga kiwiko lakini mwamuzi aliamua mchezo uendelee wakati huo Sassuolo wakiwa wanashambulia.

Shambulizi hilo liliwapa bao Sassuolo kupitia kwa straika wao, Khouma Babacar na wakati wanaupeleka mpira kati ili wauanzishe, Costa na Di Francesco bado walikuwa wanazozana kabla ya beki huyo kupigwa kichwa na kutemewa mate mdomoni.

Mara baada ya mwamuzi wa mchezo huo, Daniele Chiffi kutazama marudio ya tukio hilo kupitia mwamuzi wa video (VAR), alimwonesha kadi nyekundu Costa.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -