Tuesday, October 27, 2020

DRAKE, CHRIS BROWN WAMALIZA ‘BIFU’

Must Read

Katwila: Sitaidharau Mbeya City

NA VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Ihefu, Zuberi Katwila, amesema hawaraidharau  Mbeya City...

Kocha apokea kipigo kwa shingo upande

 NA  VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Mwadui, Khalid Adam, amesema amesikitishwa na kipigo...

KMC kumaliza hasira kwa Gwambina

NA WINFRIDA MTOI BAADA ya kuchezea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Yanga, kocha...

NEW YORK, Marekani

MASTAA nguli, Drake na Chris Brown, wanaripotiwa kuzika bifu lao walilokuwa nalo kipindi cha nyuma.

Chanzo cha habari kilichopo karibu na  Drake kiliuambia mtandao wa HL Exclusively jinsi kifo cha Mac Miller kilivyosaidia kumaliza bifu hilo hadi kufikia Drizzy kumwalika jukwaani  Breezy katika tamasha liliofanyika  Oktoba 12, mwaka huu jijini  Los Angeles.

Chanzo hicho kilichopo karibu na Drake  kiliuambia mtandao wa HollywoodLife jinsi Drake anavyojivunia kumaliza bifu lao na kisha tena kuwa marafiki.

“Drake anajisikia mwenye furaha sana kuona wanamaliza masuala ambayo hayakuwa na maana yoyote katika maisha yake,” kilieleza chanzo hicho.

“Baada ya kushauriwa na watu hususani baada ya kifo cha Mac Miller, Drake aliamua kuyapitia mambo ambayo ni muhimu katika maisha yake na ambayo hayamfai na moja wapo kati ya yasiyomfaa, ni bifu na Brown,” kiliongeza chanzo hicho.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Katwila: Sitaidharau Mbeya City

NA VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Ihefu, Zuberi Katwila, amesema hawaraidharau  Mbeya City...

Kocha apokea kipigo kwa shingo upande

 NA  VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Mwadui, Khalid Adam, amesema amesikitishwa na kipigo cha mabao 6-1 kutoka kwa...

KMC kumaliza hasira kwa Gwambina

NA WINFRIDA MTOI BAADA ya kuchezea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Yanga, kocha msaidizi wa timu ya Manispaa...

Tshishimbi atambulishwa kuvaa uzi wa AS Vita

NA MWENDISHI WETU KIUNGO wa zamani wa timu ya  Yanga, Papy Tshishimbi, ametambulishwa katika kikosi cha AS Vita ya...

Kaseja: Hatukuwa dhaifu kwa Yanga

NA ZAINAB IDDY NAHODHA wa timu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC),  amesema  hawakuwa dhaifu mbele ya Yanga, licha ya...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -