Tuesday, October 20, 2020

EMINEM AKANA KUMPIGA KIJEMBE DRAKE

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

LONDON, England


 

RAPA Eminem amesisitiza kwamba hajarusha dongo la kumpiga kijembe staa mwenzake, Drake katika kibao chake kipya alichokipa jina la ‘Lucky You’, licha ya watu wengi kuwa na fikra kama hizo.

Kauli ya staa huyo imekuja baada ya awali kurusha kijembe dhidi ya rapa mwenzake huyo katika albamu yake inayoitwa Kamikaze, lakini baadaye akaomba radhi na hivi karibuni alipofyatua kibao hicho kipya ikatafsiriwa kuwa amemlenga tena.

Hata hivyo, akizungumza juzi staa huyo alisema kwamba anakiri kwa dhati kwamba wimbo huo hauna lengo la kumshambulia Drake ambaye ni mtaalamu wa kujibu mapigo pindi anapohisi kushambuliwa.

Akifafanua kuhusu kauli yake hiyo, alisema kwamba haoni sababu ya kumshambulia staa huyo kwani anamwona kama kati ya watoto wake.

“Hapana hakuna kitu kama hicho. Siku zote Drake ataendelea kuwa na uhusiano mzuri na mimi kwa sababu kila anachokifanya ni sawa na anachoweza kukifanya mwanangu ambacho siwezi kukisahau na siku zote ataendelea kuwa mshirika wangu,” alisema Eminem wakati akihojiwa kuhusu albamu yake ya Kamikaze sehemu ya nne.

“Nampenda sana Drake. Na ninachokwambia siwezi kukueleza ninampenda kwa kiasi gani na kwanini tufikie hatua kama hiyo ya kurushiana vijembe,” aliongeza staa huyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -