Friday, November 27, 2020

ETHIOPIA KUWANOA WANARIADHA WA TANZANIA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA LEONARD MANG’OHA

SERIKALI ya Ethiopia imeahidi kutoa mafunzo kwa wanariadha wa Tanzania ili kuinua kiwango cha mchezo huo hapa nchini.

Ahadi hiyo ilitoplewa na na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Hailemariam Desalegn, alipokutana na mwenyeji wake Rais DkT. John Magufuli katika hafla iliyofanyika Ikulu, jijini Dar es Salaam jana.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Rais Magufuli alisema kuwa Desalegn ameahidi kutoa mafunzo hayo kutokana na nchi hizo kuwa na mazingira yanayofanana.

“Najua ninapotaja riadha wanaopenda michezo wanamkumbuka yule kijana mfupi mfupi hivi aliyekuwa anakimbia sana,” alisema Dkt Magufuli.

Ikumbukwe kuwa Ethiopia imekuwa ni miongoni wa nchi zinazofanya vizuri katika mchezo wa riadha hususani mbio ndefu ambapo imekuwa ikitwa medali mara kwa mara katika mashindano ya kikanda na kimataifa.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -