Thursday, October 22, 2020

Fabregas akana kuondoka Chelsea

Must Read

UKITELEZA KWISHNEI

NA ASHA KIGUNDULAMIAMBA ya soka nchini, Simba na Yanga, leo wana vibarua vigumu vya kusaka pointi zote...

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

LONDON, England

 KIUNGO wa Chelsea, Cesc Fabregas,  amesisitiza kuwa hajawahi kuwa na mpango wa kuitema klabu hiyo licha ya kuwapo na tetesi nyingi kuhusu hatima yake.

Kauli ya staa huyo imekuja baada ya kuwapo taarifa nyingi wakati wa dirisha la usajili na zikazidi zaidi baada ya kucheza dakika 32 tu akiwa chini ya kocha Antonio Conte, katika michuano ya Ligi Kuu England.

Hata hivyo, katikati mwa wiki, Fabregas alipewa nafasi ya kucheza katika mchezo wa Kombe la Ligi (EFL) na kufanikiwa kufunga mabao mawili yaliyoifanya timu hiyo kuondoka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Leicester City.

“Kamwe sijawahi kuwa na mpango wa kuondoka Chelsea,” Fabregas aliliambia jarida la Cadena COPE.

“Real Madrid sijui kama watataka kunisajili ama la. Lakini sijawahi kuwa na mawazo ya kuondoka  Chelsea,” aliongeza staa huyo.

Fabregas alikwenda mbali zaidi akisema kuwa kwa sasa ameshachoka na tetesi hizo na akasema mawazo yake yote ni kubaki kuitumikia klabu hiyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

UKITELEZA KWISHNEI

NA ASHA KIGUNDULAMIAMBA ya soka nchini, Simba na Yanga, leo wana vibarua vigumu vya kusaka pointi zote...

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na Staa Wako, safu inayokupa nafasi...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -