Sunday, January 17, 2021

FAINALI KIGAMBONI BEST CREW KUFANYIKA JUMAPILI

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

NA KIDAWA HASSAN (OUT)

FAINALI ya kusaka kundi bora la kudansi la Kigamboni (Kigamboni Best Dance Crew), inatarajiwa kufanyika Jumapili hii ndani ya Club Kakala, iliyopo Kigamboni, jijini Dar es Salaam.

Shindano hilo, ambalo lilianza na makundi 12, sasa yamebaki matatu ambayo yameingia fainali hiyo na yatasindikizwa na makundi mawili.

Makundi hayo yaliyoingia fainali ni

Fresh Crew, Team Heineken, Back Winer na watakaosindikiza ni Suger Dancez na Team Vegaz.

Mratibu wa shindano hilo, ambaye ni meneja wa Club Kakala, Mbwana Khamis, amesema washindi wa shindano hilo lililoanzia hatua utambulisho kisha mtoano, robo fainal, nusu fainal na sasa fainali watapewa Sh 500,000.

“Kundi litakaloshinda litajinyakulia shilingi 500,000, wakati lile litakaloshika nafasi ya pili litapata 250,000 na la mwisho 150,000,” alisema Mbwana.

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -