Friday, October 30, 2020

Fifa kukutana na Rais wa Sierra Leone

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

FREETOWN, Sierra Leone

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Fatma Samoura, anatarajia kuitembelea Sierra Leone kuzungumza na pande mbili zinazopingana za Chama cha Soka cha nchi hiyo (SLFA) pamoja na Serikali.

Fifa waliomba kukutana na Rais wa Sierra Leone, Ernest Bai Koroma pamoja na viongozi wengine.

“Tuna imani na Rais na viongozi wenzake wataheshimu ombi letu  kuwatembelea Novemba 16 mwaka huu na tuna uhakika kupata mwafaka kutoka pande zote mbili,” aliandika Samoura kwenye barua yake iliyokwenda SLFA.

Mwaka 2014, wachezaji 15 wa timu ya taifa na viongozi walisimamishwa baada ya kuwepo madai ya upangaji wa matokeo katika mchezo wa kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika, ambapo katika mchezo huo Sierra Leone ilitoka sare ya kutofungana na timu ya Afrika Kusini.

Chama cha soka nchini humo kilianza kufanya uchunguzi mapema mwaka huu na bado uchunguzi huo unaendelea.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -