Sunday, January 17, 2021

Fury aahirisha tena pambano; ‘AJ kupewa Wladimir’

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

MANCHESTER, England

Lakini pambano hilo limeahirishwa kwa mara ya pili na kusababisha kuwepo na shaka kwamba huenda lisiwepo tena.

Huenda Hearn akasimamisha pambano la bingwa wa mkanda wa IBF, Joshua ambalo lilitarajiwa kuchezwa Novemba 26 mwaka huu mjini Manchester dhidi ya Kubrat Pulev, Joseph Parker ama Hughie Fury.

Bosi huyo wa Kampuni ya Matchroom, Hearn ameweka wazi kwamba, Joshua atakuwa na furaja kama atazipiga na Wladimir kutoka Ukraine.

Tayari Hearn amekwishazungumza na meneja wa Klitschko, Bernd Bonte juzi usiku ili kujua kama wanaweza wakawa na pambano hilo.

Fury, ambaye amedaiwa hayuko vizuri kiakili, anaweza akavuliwa ubingwa na WBO na WBA, kisha mikanda hiyo kuwa wazi.

Hearn, anasema: “Niliwasiliana na Bernd juzi usiku na kama kutakuwa na nafasi ya AJ kuzipiga na Klistchko.

“Najua wana mambo mengi ya kuweka sawa, lakini AJ yuko tayari kupigana Novemba au hata kabla ya pambano hilo.”

Kocha na mjomba wa Fury, Peter, haamini kama bondia wake atavuliwa mkanda ila atakuja na jibu la afya yake wiki hii.

Kambi ya Klitschko imeingiwa na huruma juu ya hali ya Fury, lakini wameandika barua kwa WBO na WBA kuweka wazi kuhusiana na mikanda hiyo.

Fury alimchapa Klitschko mjini Dusseldorf, Novemba mwaka jana na kutwaa mkanda wa WBA na WBO, lakini kambi ya Wladimir waliomba mechi ya marudiano kwa haraka.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -