Wednesday, November 25, 2020

‘GABRIEL JESUS KAMA TIKITI MAJI’

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

MANCHESTER, England


Pep Guardiola amekiri kwamba hakuwa na uhakika na kile anachokitarajia kutoka kwa mchezaji wake mpya, Gabriel Jesus, akimfananisha na tikiti maji.

Mshambuliaji huyo alisajiliwa kwa pauni milioni 27 dirisha dogo la usajili na kucheza dakika zote 90, wakati Manchester City ikiichapa West Ham mabao 4-0 kwenye Uwanja wa London juzi Jumatano.

Guardiola aliulizwa kama Jesus ambaye pia alicheza vizuri dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Kombe la FA, alimshangaza kwa mchango wake.

“Huwezi jua, ni kama tikiti maji, unahitaji kulipasua uone kama ni baya au zuri,” alijibu Guardiola.

“Ni mchezaji mdogo, lakini ana akili. Anajituma sana. Anataka kuwa mchezaji mzuri. Ana ndoto na ana mambo ya kuonyesha kwenye soka lake. Hiyo inasaidia sana.

“Anataka kufanya kitu kwenye ulimwengu wa soka, ndiyo hivyo, tutajaribu kumsaidia kufika anapotaka.

“Nafikiri alicheza vizuri kwenye dakika nane dhidi ya Tottenham, alitengeneza nafasi mbili au tatu katika dakika hizo nane.

“Dhidi ya Crystal Palace, ilikuwa mechi yake ya kwanza ugenini Ligi Kuu England, alicheza vizuri.

“Asisti yake ya kwanza alimpa mpira Rash (Raheem Sterling) dhidi ya Crystal Palace. Leo alitumia asisti ya Kevin. Ni mchezaji ambaye anapenda kushambulia na analijua goli na anapenda kufunga.”

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -