Thursday, November 26, 2020

Genk ya akina Samatta utaipendaje

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA MWANDISHI WETU

KIKOSI cha Genk FC cha nchini Ubelgiji anachochezea Mtanzania, Mbwana Samatta, kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mechelen mchezo wa ligi kuu nchini humo.

Katika mchezo huo ambao Samatta hakucheza dakika zote 90, Genk walijikuta wakianza kufungwa bao dakika ya 10 likifungwa na Nicolas Verdier kabla ya kusawazisha dakika ya 21 Nikolaos Karelis.

Bao la ushindi la Genk lilifungwa na Mjamaica Leon Bailey katika dakika ya 51 kipindi cha pili ushindi ambao umekifanya kikosi hicho kupanda hadi nafasi ya tisa kwenye msimamo na kujikusanyia pointi 13.

Samatta ameshindwa kucheza michezo miwili iliyopita kwa dakika zote 90 kutokana na kwamba alikuwa majeruhi na sasa anachezeshwa dakika chache ili apone vizuri.

Nahodha huyo wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, alisajiliwa na kikosi hicho akitokea TP Mazembe ya Congo DR baada ya kuisaidia kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika msimu uliopita.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -