Monday, November 30, 2020

Gerrad kurejea Anfield kuinoa Liverpool

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LIVERPOOL, England

NAHODHA wa zamani wa Liverpool, Steven Gerrard, anafanya mazungumzo ya awali ili  kurejea kwenye klabu hiyo kama kocha wa vijana.

Kwa mujibu wa mtandao wa Goal.com,  kiungo huyo mwenye umri wa miaka 36 amesema lengo la kurejea kwake ni kukinoa kikosi cha vijana cha klabu hiyo ya Reds, ambapo atashirikiana na Mkurugenzi wa kitengo kinachosimamia ukuaji wa vipaji kwa vijana wa klabu hiyo , Alex Inglethorpe.

Gerrard anataka kutumia uzoefu wake Anfield kusaidia kutoa mchango kwa vijana hao wa Liverpool.

Kwa sasa Gerrard anamalizia mafunzo ya ukocha daraja la A, yanayotambuliwa na Shirikisho la Soka barani Ulaya  (UEFA).

Mapema wiki hii, Gerrard alithibitisha kuwa anaondoka  klabu yake ya LA Galaxy inayoshiriki Ligi ya MLS nchini Marekani, baada ya kucheza kwa  misimu miwili.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -