Friday, December 4, 2020

GERRARD AMKUMBUKA ‘MSHKAJI’ WAKE ALONSO

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

MERSEYSIDE, Liverpool

BAADA ya kiungo wa klabu ya Bayern Munich, Xabi Alonso, kutangaza kustaafu mwishoni mwa msimu huu, kiungo mwenzake wa zamani wa Liverpool, Steven Gerrard, amesema anamkumbuka rafiki yake huyo tangu alipoondoka Anfield.

Gerrard aliandika kwenye ukurasa wake wa akaunti ya Instagram, akikumbushia nyakati zao huku akidai kumkumbuka mno kiungo huyo.

Alonso alitangaza kustaafu mara baada ya msimu huu kumalizika na Gerrard alikuwa mmoja wa mastaa wa soka walioibuka na kauli za kumpongeza mshindi huyo wa Uefa 2005 akiwa Liverpool, Kombe la Dunia 2010 na timu ya taifa ya Hispania.

“Ulikuwa mchezaji bora dimbani, nilifurahi kucheza pamoja na wewe na ninakumbuka kila siku tangu ulivyoondoka (Liverpool),” aliandika Gerrard.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -