Tuesday, November 24, 2020

GRIEZMANN APIGWA FAINI KISA KUSHANGILIA ‘BETHDEI’ YA MKEWE

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

MADRID, Hispania

MSHAMBULIAJI wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann, amepigwa faini ya pauni 520 na onyo kwa kitendo chake cha kushangilia kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mkewe baada ya kufunga bao.

Griezmann aliisaidia Atletico kuinyuka Valencia mabao 3-0 na alishangilia bao lake kwa kufunua jezi ili kuyafanya maneno mazuri aliyomwandikia mkewe kwenye fulana ya ndani yaweze kusomeka.

Sheria za Shirikisho la Soka Hispania linawazuia wachezaji kufanya hivyo kwa kile kilichotajwa kwamba makubaliano waliyofikia pamoja na wadhamini ni kutoona mchezaji akizuia jina la kampuni lililochapishwa kwenye jezi lionekane wakati anashangilia, kwa ushangiliaji wa kuvua au kuivuta jezi kwa juu lakini bado Griezmann hakuridhishwa na adhabu hiyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -