Monday, November 30, 2020

GRIEZMANN APOTEZEA DILI LA KUTUA UNITED, ADAI KUTOVUTIWA NA HALI YA HEWA ENGLAND

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

MADRID, Hispania

KWA muda mrefu sasa klabu ya Manchester United imekuwa ikiifuatilia saini ya mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid, Antoine Griezmann, na taarifa za awali zilisema kwamba bado United inaendelea kumfukuzia lakini taarifa hii huenda ikawa sio nzuri kuisikia katika kipindi hiki.

Mshambuliaji huyo alisema kuwa ingawa havutiwi na hali ya hewa ya England, hana nia ya kuondoka hapo kwa sasa kama alivyofanya 2014 alipoikacha Real Sociedad na kutua Vicente Calderon.

Griezmann alisema hali ya hewa iliyopo England ya baridi na mvua inamfanya kuwa mzito kuamua wa kudhihirisha nia yake ya kubaki au kuondoka Atletico, wakati United ikiwa na matarajio ya kuinasa saini yake majira yajayo ya kiangazii.

“Sina nia ya kuondoka Atletico kama nilivyodhamiria kuondoka Real Sociedad, England kuna baridi na mvua ambazo zianifanya nisijisikie vizuri nikiwa nje ya dimba,” alisema.

Alipoulizwa kuhusu ishu ya kuhama, Griezmann alisema: “Kwa sasa nina furaha hapa, hivyo sioni kama kuna sababu ya kunifanya niondoke.”

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -