Thursday, October 29, 2020

GUARDIOLA AOMBA MSAMAHA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

MANCHESTER, England


KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola ameomba msamaha kwa timu yake kuhusika kwenye ugomvi, ambao ulisababisha Fernandinho na Sergio Aguero kuonyeshwa kadi nyekundu kwenye mechi ambayo Chelsea walishinda mabao 3-1.

Vinara wa Ligi Kuu England, Chelsea walitoka nyuma kwa bao 1-0 na kushinda mechi hiyo kabla ya kuibuka kwa ugomvi dakika za mwisho za mchezo huo.

Aguero alionyeshwa kadi nyekundu kwa kumchezea vibaya beki wa Chelsea, David Luiz, huku mchezaji mwenzake Fernandinho alionyeshwa kadi nyekundu pia kwa kumsukuma Cesc Fabregas pembezoni mwa uwanja.

“Ni mbaya sana mechi kuisha kama hivi,” alisema Guardiola. “Sipendi mambo kama yale na naomba msamaha kwa kile kilichotokea.

“Sifikirii kama Aguero alicheza vile kwa makusudi. Wachezaji wote waligongana, hivyo ndivyo ilivyokuwa.

“Fernandinho alikwenda kumtetea mchezaji mwenzake kwa kuwa walikuwa wamemzunguka Aguero.”

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -