Saturday, October 31, 2020

Guardiola hajakoma kumpa Aguero penalti

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

MANCHESTER, England

LICHA ya kukosa mkwaju wa penalti katika mchezo wa juzi dhidi ya Everton, staa wa Manchester City, Sergio Aguero, ataendelea na jukumu hilo.

Kauli hiyo imetolewa na kocha wa kikosi hicho, Pep Guardiola ambaye amedai kuwa hatasita kumpa penalti straika huyo wa kimataifa wa Argentina.

“Napenda wachezaji wenye sifa za kupiga penalti. Napenda hilo, sitasema jukumu la kupiga penalti ni la mtu mmoja,” alisema Guardiola.

Ikumbukwe kuwa Aguero alikosa penalti mbili katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Steaua Bucharest.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -