Tuesday, January 19, 2021

Guardiola kuongeza vifaa vitatu

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

LONDON, England

HII sasa sifa. Hivi ndivyo unavyoweza kukielezea kitendo cha Kocha wa Manchester City,  Pep Guardiola, kuamua kupanga kutumia kitita kingine cha pauni milioni 150 ili kuhakikisha anawanasa straika  Aubameyang na mabeki Bellerin  na Bonucci wakati wa usajili wa majira ya baridi yajayo.

Msimu uliopita Man City walimkabidhi Guardiola pauni milioni 175 kwa ajili ya kufanya usajili mkubwa na kwa sasa inavyosemekana ni kwamba tayari ameshakabidhiwa fungu hilo kwa ajili ya kufanya kufuru hiyo wakati dirisha hilo la usajili litakapofunguliwa mapema Januari.

Kuna taarifa ndani ya klabu zinazoeleza kuwa vigogo hao wa soka Ligi Kuu England wanahitaji madirisha ya usajili mawili ili kutimiza kile ambacho wanakitaka sokoni.

Inaelezwa kwamba, hadi fungu hilo linatoka kocha wao, Guardiola,  ndiye aliyetoa ushawishi wa kutaka aongezewe wachezaji ambao wataifanya Man  City  kuwa tayari kutandaza kandanda la pasi ambalo limemjengea heshima katika kazi yake ya ukocha.

“Wachezaji anaowataka ni mabeki wawili wapya na mshambuliaji mmoja ambao anaamini wataifanya Man City kuwa tushio duniani,” kilieleza chanzo cha habari kutoka ndani ya klabu hiyo.

Kilieleza kwamba, beki wa kulia wa Arsenal,  Hector Bellerin, anauzwa kwa pauni milioni 40, ambazo Guardiola anakubaliana  nazo wakati beki wa kati wa Juventus, Leonardo Bonucci, thamani yake ni pauni milioni 60.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -