Monday, August 10, 2020

Gunda aachia ‘Ni Nani Mtu Huyu’

Must Read

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi...

HARARE, ZIMBABWE

KUTOKA nchini Zimbabwe, mwimbaji mahiri wa Injili, Lawrence Gunda, amewaomba mashabiki wa muziki huo Tanzania waipokee video ya wimbo wake mpya, Ni Nani Mtu Huyu.

Akizungumza na Papaso la Burudani jana, Gunda alisema katika wimbo huo wa kusifu na kumwabudu Mungu ametumia Kiswahili ili uwabariki mashabiki zake wa Tanzania na wote wanaoelewa lugha hiyo.

“Huu ni wimbo wa kusifu na kumwabudu Mungu wetu aliye hai, nawaomba mashabiki zangu wa Tanzania waendelee kunipa sapoti ili huduma yangu izidi kukua na kufanyika kwa baraka kwa wengi, video tayari ipo YouTube kwenye chaneli ya Worshiper Larry Gunda,” alisema Gunda.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -