Friday, December 4, 2020

Gwambina kuishambulia KMC

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA GLORY MLAY

KOCHA msaidizi wa Gwambina, Athumani Bilali ‘Bilo’, amesema  atacheza soka la kushambulia na kujilinda kwa muda wote dhidi ya kikosi cha Manispaa ya Kinondoni (KMC), ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa Ijumaa kwenye Uwanja wa Gwambina, Misungwi, mkoani Mwanza.

Akizungumza na BINGWA kwa simu kutoka Mwanza, Bilo alisema amefanyia kazi kasoro zilizojitokeza katika mchezo uliopita dhidi ya Coastal Union na sasa wanawasubiri KMC ili waweze kuwaonesha muziki wao.

Bilo alisema  KMC ni wazuri na wameanza msimu huu kwa kishindo,  lakini hawaogopi, kwani wamejipanga kwa lengo la kupta ushindi.

Alisema katika mchezo huo watashambulia mwanzo mwisho ili waweze kupata pointi tatu ambazo zitawaweka katika mazuri bora katika mchezo wa ligi hiyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -