Wednesday, January 20, 2021

HALI YA MC PILIPILI YAZIDI KUIMARIKA

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

NA CHRISTOPHER MSEKENA

BAADA ya kupata ajali ya gari katikati ya kijiji cha Nyasamba na Bubiki, mkoani Shinyanga na kukimbizwa Hospitali ya Bugando, Mwanza kwa matibabu, mchekeshaji na mshereheshaji ghali nchini, Emmanuel Mathias ‘Mc Pilipili’ hali yake imezidi kutengamaa.

Mpiga picha wa Mc Pilipili, Lumato, ameliambia Papaso la Burudani kuwa, bosi wake anaendelea kupata matibabu na afya yake inazidi kuimarika, hivyo Watanzania waendelee kumwombea arudi kwenye  hali yake ya kawaida.

“Anaendelea kupata matibabu, Watanzania waendelee kumwombea, aliumia japo si sana, alipatwa na mshtuko na majeraha yaliyotokana na ajali, hata dereva wake pia anaendelea vizuri, tuendelee kuwaombea kwa Mungu,” alisema Lumato.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -