Sunday, October 25, 2020

HAMILTON: UZOEFU UTATUBEBA MWAKANI

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

MUNICH, Ujerumani


MKALI wa mbio za magari za Formula One, Lewis Hamilton, amefunguka wazi na kusema kwamba anahitaji dereva mwenzake atakayekuwa tayari kujituma ipasavyo kwa ajili ya kuifanya timu ya Mercedes ifanye vizuri mwakani.

Bingwa huyo wa dunia kwa kipindi cha miaka kadhaa alikuwa akishirikiana na Mjerumani, Nico Rosberg, ambaye amestaafu hivi karibuni huenda akapatiwa mshirika mwingine kati ya Fernando Alonso au Valtteri Bottas sambamba na kinda anayekuja kwa kasi Pascal Wehrlein.

“Nasubiri maamuzi ya mabosi wangu ingawa wanafanya mambo yao kwa siri sana,” alisema Muingereza huyo.

“Matumaini niliyonayo kwa dereva atakayeungana nasi ni kumwona akiwa na mchango mkubwa kwa sababu mwakani tutaingia na gari jipya na uzoefu mwingi utahitajika ili kuwaongoza Red Bulls na Ferrari.

“Msimu ujao nitafanya kila liwezekanalo kuibakisha timu Mercedes kwenye nafasi za juu,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -