Sunday, November 29, 2020

HANSPOPE AKOMAA NA KESSY

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAITUNI KIBWANA,

MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili, Zacharia Hanspope, ameonekana kukomaa na beki wake wa zamani, Hassan Ramadhani ‘Kessy’, baada ya kusema wanasubiri fedha zao za malipo kutoka Yanga.

Simba wanatakiwa kulipwa Sh milioni 50 na faini ya Sh milioni tatu kutokana na Yanga kumsajili Kessy wakiwa bado ana mkataba na Wekundu wa Msimbazi.

Yanga waliamuliwa na Kamati ya Sheria na Hadhi ya wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuilipa Simba kutokana na kesi iliyofungwa kwa kamati hiyo.

Akizungumza na BINGWA jana, Hanspope alisema hawajui kichokwamisha kulipwa fedha zao baada ya uamuzi wa kamati hiyo.

“Kamati ilishatoa uamuzi, hivyo sijui nini kinakwamisha wakati tulipaswa kulipwa fedha zetu,” alisema.

Desemba mwaka jana, Kamati ya Sheria ya TFF ilitaka Yanga kuilipa Simba kutokana na kukiuka kanuni za usajili kwa Kessy.

Kessy alisajiliwa na Yanga katika kipindi cha usajili mdogo wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), baada ya timu hiyo kutinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -