Saturday, November 28, 2020

HAYATOU ALIVYOANGUSHWA CAF

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

ADDIS ABABA, Ethiopia

Ahmad Ahmad wa Madagascar jana amechaguliwa kuwa Rais wa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) na kumwangusha mkongwe Issa Hayatou, aliyeshika nafasi hiyo kwa muda wa miaka 29.

Rais huyo wa Chama cha Soka cha Madagascar, Ahmad, ameshinda kwa kura 34 katika uchaguzi huo uliofanyika nchini Ethiopia na Hayatou kuambulia kura 20.

Wajumbe walifurahia na kupiga makofi kwenye ukumbi huo uliofanyika uchaguzi, baada ya kutangazwa kwa matokeo yaliyoashiria kuondoka kwa uongozi huo wa wakongwe kwenye soka duniani.

Ahmad, mwenye umri wa miaka 57, baba wa watoto wawili, aliwahi kucheza mpira na kufundisha kabla hajaongoza soka hilo la Madagascar kuanzia mwaka 2003.

Mpango wake wa kutaka mabadiliko kwenye shirikisho hilo uliwashangaza wengi na kuanza kupewa nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi huo.

Hayatou wa Cameroon aliiongoza CAF tangu mwaka 1988 na kuwa Makamu wa Rais wa FIFA. Aliheshimika kwa kuongezeka kwa timu za Afrika kwenye fainali za Kombe la Dunia.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -