Wednesday, November 25, 2020

HAZARD ANA THAMANI YA BEI GANI?

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LONDON, England

Eden Hazard ana thamani ya bei gani Chelsea na anaweza kuwa nyota wa kwanza wa Ubelgiji kuuzwa pauni milioni 100?

Luis Figo, Zinedine Zidane, Kaka, Cristiano Ronaldo na Gareth Bale, kila mmoja alivunja rekodi ya usajili kwa wakati wake kwa kutua Real Madrid, lakini Hazard atafuatia?

Real Madrid wanataka kumsajili Hazard, lakini mpaka sasa hakuna mazungumzo yaliyokwishakufanyika na klabu yake ya Chelsea.

Hazard alisaini mkataba mpya wa miaka mitano na nusu Februari 2015, huku kukiwa hakuna ishara yoyote kama Chelsea wanataka kuuza wachezaji wao wazuri, pamoja na Real Madrid kuwahi kufanikiwa kuwasajili wachezaji mbalimbali bora wa Ligi Kuu England ndani ya muongo mmoja.

Chelsea wamedaiwa kwamba wako tayari kujibu taarifa zilizozagaa Hispania kwamba watakuwa tayari kumuuza mchezaji huyo, Hazard kwenda Real Madrid, ila hawatashughulika na kujibu tetesi na uzushi unaotengenezwa na vyombo vya habari kama jarida la Marca.

Real Madrid wamekuwa na desturi ya kusajili wachezaji ambao wanakuwa mastaa kwenye ligi mbalimbali hasa Ligi Kuu England kama ilivyokuwa kwa Ronaldo, Bale na Luka Modric.

Lakini kama klabu hiyo ya Blues itakuwa tayari kumuuza mchezaji huyo, itakuwa ni kiasi gani cha fedha watakachokubali? Atavunja rekodi mbalimbali zilizokwishawekwa na klabu hiyo ya Real Madrid miaka ya nyuma?

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -