Friday, December 4, 2020

HAZARD KUPIGWA ‘KUFULI’ CHELSEA

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

LONDON, England

NYIE Real Madrid mnataka kutuchukulia mali yetu? Tumewashtukia, tunaifungia. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya klabu ya Chelsea kuanza mazungumzo ya kumpa mkataba mpya winga wao, Eden Hazard, baada ya kusikia Madrid wameanza kummezea mate.

Mtandao wa Daily Mail uliibuka na ripoti kuwa Madrid wameandaa kiasi cha pauni milioni 100 kumnasa Hazard, lakini Chelsea wanataka kumbakisha kikosini kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.

Huenda Mbelgiji huyo akawekewa mezani mkataba mnono wenye kipengele cha mshahara wa pauni 300,000 kwa wiki sambamba na nyongeza, kwa sasa anakamata mshiko wa pauni 200,000 katika mkataba wake wa miaka mitano aliousaini Februari mwaka 2015.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -