Tuesday, November 24, 2020

HII NI AIBU KWA YANGA NA TFF

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

JUZI Yanga ilicheza na Ngaya de Mbe ya Comoro kwenye mchezo wa marudiano wa raundi ya awali ya michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika.

Pamoja na mambo mengine, mchezo huo ulichezwa katika siku ambayo mchezaji wa zamani wa Yanga, Godfrey Bonny alikuwa anazikwa baada ya kurafiki siku chache zilizopita.

Kwa kawaida na kama ilivyo ada katika mchezo wa soka, Yanga ambayo ndiyo ilikuwa mechi yake ya kwanza tangu kupatikana kwa taarifa za msiba, ilitakiwa kusimama kwa dakika moja lakini pia kuingia uwanjani wachezaji wakiwa wamevaa kitambaa cheusi mkononi.

Haikuwa hivyo kwa Yanga, mchezo dhidi ya Ngaya ulianza kama kawaida na wachezaji hawakuwa na kitambaa cheusi mkononi kuashiria kwamba wamefikwa na jambo zito la kuondokewa na mmoja wa mwanafamilia yao.

Wakati hilo linatokea Uwanja wa Taifa, kule mkoani Mbeya, jeneza la Bonny lilipambwa na bendera za klabu ya Yanga, timu ambayo aliichezea kwa mafanikio makubwa, ni tukio lililogusa hisia za wadau wengi wa soka hapa nchini.

BINGWA tunahoji ni kwanini hili limetokea? Je, viongozi wa Yanga hawakuwa na taarifa za msiba huo? Na je, TFF nao hawakuwa na taarifa ya msiba huo wa mchezaji ambaye pia alicheza timu ya Taifa na akapewa sifa za kipekee kabisa na aliyekuwa kocha wa timu wakati huo, Mbrazil Marcio Maximo?

Kwanini hili linatokea wakati kila kitu kilikuwa wazi? Ni aibu kubwa sana kwa kuwa limetokea, BINGWA tunatoa rai kwa klabu zote nchini na TFF kuwa makini na masuala hayo muhimu katika kuheshimu, kuthamini na kuenzi mchango wa wachezaji wetu wa soka.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -