Monday, October 26, 2020

HIMID: HATUTARUDIA MAKOSA KWA CAPE VERDE

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA TIMA SIKILO

NAHODHA msaidizi wa timu ya Tanzania, Taifa Stars, Himid Mao, amesema hawatarudia makosa kwa kufungwa na Cape Verde katika mchezo wa marudiano wa kuwania kufuzu fainali za Afrika (Afcon), utakaochezwa kesho kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na BINGWA jana, Himid alisema baada ya kufungwa mabao 3-0 na Cape Verde katika mchezo wa kwanza uliochezwa wiki iliyopita mjini Praia, sasa wamejipanga kulipa kisasi.

Himid alisema kitendo cha kupoteza mchezo huo kimewaumiza, hivyo watahakikisha wanapata matokeo mazuri katika uwanja wa nyumbani.

Alisema watacheza kwa juhudi zote kuhakikisha wanalinda heshima  nyumbani.

“Malengo yetu yalikuwa ni kurudi na pointi tatu, lakini imekuwa ni kinyume chake, Watanzania wasiache kutuombea ili tuweze kufanya vizuri katika mchezo wetu unaofuata,” alisema Himid.

Mchezo wa kwanza Taifa Stars ilitoka sare ya kufungana bao 1-1 na Lesotho mwaka jana kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, kabla ya kupata suluhu dhidi ya Uganda, Septemba 8, mwaka huu, Uwanja wa Mandela, jijini Kampala.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -