Tuesday, October 27, 2020

Howard Webb afunguka alivyoacha kumwonyesha Ronaldo ‘red card’

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

MANCHESTER, England

Mwamuzi wa zamani wa England, Howard Webb, amezungumzia kitendo chake cha kushindwa kumwonyesha kadi nyekundu mchezaji wa zamani wa Manchester United, Cristiano Ronaldo miaka kadhaa iliyopita.

Akizungumza na mtandao wa Mirror Football, Howard Webb, alisema kwamba alipaswa kumwonyesha kadi nyekundu Ronaldo katika mechi dhidi ya mahasimu wao Manchester City.

Mwamuzi huyo mzaliwa wa Rotherha ambaye amechezesha takribani mechi 1,000, alisema kuna wakati alikutana na matukio magumu.

Akifikiria nyuma, Webb alikumbushia mchezo huo wa ‘Manchester derby’ na tukio lililomhusu Ronaldo ambalo lilimweka kwenye wakati mgumu na Chama cha Soka cha England (FA), baada ya kuacha kumuonyesha mchezaji huyo kadi ya pili ya njano.

Ronaldo alionyeshwa kadi ya njano kabla ya kumpigia makofi Webb kwa dharau, jambo ambalo alipaswa kuonyeshwa kadi ya pili ya njano lakini mwamuzi huyo aliamua kuacha kumuonyesha kadi hiyo na kuendelea na mchezo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -