Friday, October 30, 2020

 HUYO ROONEY WE ACHA TU

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

WASHINGTON DC, Marekani

BAO la maajabu ambalo juzi lilitengenezwa dakika za majeruhi na straika Wayne Rooney, liliiwezesha timu  yake ya  DC United, kuondoka na ushindi wa mabao  3-2 dhidi ya Orlando katika mchezo wa Ligi Kuu ya Marekani, MLS.

Kabla ya Rooney kupachika bao hilo, awali miamba hiyo ilionekana ingeondoka uwanjani kwa matokeo ya sare ya kufungana mabao 2-2, baada ya Orlando kusawazisha kwa mpira wa kona katika kipindi cha muda wa dakika tano za nyongeza za mtanange huo uliopigwa katika Uwanja wa Audi Field.

Bao hilo la kusawazisha la Orlando lilipatikana baada ya makosa yaliyofanywa na mlinda mlango wa DC United, David Ousted, kutoka vibaya langoni na hivyo kumwachia nafasi, Will Johnson ya kukwamisha kimiani huku lango likiwa wazi.

Hata hivyo, zikiwa zimebaki sekunde chache kabla ya mpira kumalizika yakafanyika madhambi dhidi ya Rooney  na staa huyo wa zamani wa timu za Manchester United na  ya Taifa ya England akapiga mpira mrefu ambao ulikutana na  Luciano Acosta ambaye aliwapatia bao hilo la ushindi.

Bao hilo la straika raia wa Argentina, ndilo lilikamilisha ‘hat-trick’ na likawapa pointi tatu muhimu zilizowanyayua kutoka mkiani.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -