Tuesday, October 27, 2020

HUYU NDIYE ESSAM EL HADARY

Must Read

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo,...

Katwila: Sitaidharau Mbeya City

NA VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Ihefu, Zuberi Katwila, amesema hawaraidharau  Mbeya City...

Kocha apokea kipigo kwa shingo upande

 NA  VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Mwadui, Khalid Adam, amesema amesikitishwa na kipigo...

 

Libreville, Gabon


 

MLINDA mlango wa Misri, Essam El Hadary pamoja na kucheza kwa muda mrefu kwenye michuano ya Mataifa ya Afrika akiwa na umri wa miaka 44, pia anataka kuweka rekodi ya kuchukua taji la tano la michuano hiyo.

El Hadary alidaka penalti mbili katika mchezo wa nusu fainali dhidi ya Burkina Faso na anatarajiwa kuwa mmoja kati ya wachezaji waliofanikiwa sana kwenye historia ya soka la Afrika.

Mechi yake ya juzi Jumatano dhidi ya Burkina Faso ilikuwa ni ya 15, tangu alipoanza kuichezea timu hiyo kwa mara ya kwanza mwaka 1996 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Korea Kusini.

Mlinda mlango huyo wa Wadi Degla, alikuwa kwenye kikosi kilichobeba taji mwaka 1998, akiwa kipa msaidizi wa Nader El Sayed, kabla ya kuwa chaguo la kwanza wakati Misri ikibeba mataji matatu mfululizo kuanzia 2006 hadi 2010.

Baada ya kukosa michuano hiyo mara tatu miaka saba iliyopita, safari hii Misri imerejea na kutinga fainali.

El Hadary ana mtoto wake wa kike mwenye umri sawa na mchezaji mdogo kuliko wote kwenye kikosi hicho, Ramadan Sobhi, anayekipiga Stoke City, ambaye alifikisha miaka 20 wiki iliyopita.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo,...

Katwila: Sitaidharau Mbeya City

NA VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Ihefu, Zuberi Katwila, amesema hawaraidharau  Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu...

Kocha apokea kipigo kwa shingo upande

 NA  VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Mwadui, Khalid Adam, amesema amesikitishwa na kipigo cha mabao 6-1 kutoka kwa...

KMC kumaliza hasira kwa Gwambina

NA WINFRIDA MTOI BAADA ya kuchezea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Yanga, kocha msaidizi wa timu ya Manispaa...

Tshishimbi atambulishwa kuvaa uzi wa AS Vita

NA MWENDISHI WETU KIUNGO wa zamani wa timu ya  Yanga, Papy Tshishimbi, ametambulishwa katika kikosi cha AS Vita ya...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -