Tuesday, November 24, 2020

IBRAHIMOVIC APANIA KUCHEZA HADI MIAKA 50

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LONDON, England

KUTOKANA na kiwango anachokionesha straika Zlatan Ibrahimovic licha ya kuwa na umri mkubwa, ameamua kusema kuwa anaweza kuendelea kuichezea   Manchester United hata akiwa na umri wa miaka 50.

Akiwa na umri wa miaka 35, Ibrahimovic ameshadhihirisha kuwa umri si tatizo baada ya kuifungia Man Utd mabao 16 katika mashindano yote tangu alipojiunga nayo msimu huu akitokea  Paris Saint-Germain yakiwamo mawili aliyofunga Jumamosi dhidi ya West Brom.

Ibrahimovic ambaye anatarajiwa kusaini mkataba mpya baada ya kusaini mmoja wa awali, ndiye aliyefunga mabao yote mawili katika mchezo huo ambao ulifanyika kwenye Uwanja wa  Hawthorns na kumfanya afikishe 10 katika michezo tisa.

“Najisikia mwenye furaha, najisikia vizuri,” alisema Ibrahimovic. “Hata kama kwa sasa nina umri wa miaka 35, kichwani mwangu najihisi nina 20. Nadhani naweza kucheza hata nikafikisha miaka 50, lakini hilo sitaki liwe chini yangu,” aliongeza staa huyo.

Alisema kuwa umri mkubwa alionao ndio unamfanya afanye vizuri na kwamba yuko kama waini nyekundu na pia yeye ni mfano katika hilo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -