Tuesday, October 27, 2020

IDRIS AMWOMBEA MSAMAHA MAUA SAMA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA MWANDISHI WETU


MCHEKESHAJI anayefanya vizuri kwa sasa Bongo, Idris Sultan, amemwombea msamaha msanii wa muziki, Maua Sama, ambaye anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kuivunjia heshima fedha.

Hatua ya Maua Sama pamoja na mtangazaji wa Clouds Fm, Soudy Brown, kushikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imekuja baada ya kuchapisha mtandaoni video inayowaonyesha watu wakicheza wimbo wa Iokote huku wakitupa na kukanyaga noti za shilingi 10,000.

Kupitia ukurasa wake wa picha, Idris alimwombea msamaha akisema: “Binafsi ningependa kumwombea msamaha Maua kwa kuwa lengo siyo kuivunjia heshima fedha yetu na Benki Kuu kwa ujumla. Katika harakati za kujitafutia ugali makosa yatafanyika tu, ila muhimu ni tukae tukumbuke lengo.

“Lengo siyo kukomoana, lengo siyo kuonyeshana nani anajua zaidi, lengo siyo kuwekeana mabavu bali lengo ni kuelimisha jinsi ya kutunza vyetu wenyewe. Ningependa ku-propose (kupendekeza) mumtumie Maua kuelimisha wengine kupitia influence (ushawishi) wake na adhabu aliyopata mpaka sasa tufanye imetosha, hakuna aliye juu ya sheria ila tuvae tu uhusika wa lengo.”

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -