Friday, December 4, 2020

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA ASHA KIGUNDULA
TIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya.

Ihefu wataingia uwanjani wakiwa na kocha mpya, Zuberi Katwila aliyejiunga na kikosi hicho juzi, baada ya kuachana na Mtibwa Sugar.

Katika mchezo huo, Ihefu watahitaji ushindi baada ya kupoteza michezo mitano, huku ikishinda mmoja ikiwa chini ya kocha Maka Mwalwisi aliyetimuliwa hivi karibuni kutokana na matokeo mabaya.

Hata hivyo, Azam wataingia uwanjani wakiwa na malengo ya kuondoka na pointi tatu ili waweze kuendelea kuongozi katika msimamo wa ligi hiyo, ambao wana pointi 18.

Mchezo mwingine wa ligi hiyo, utakuwa kati ya  timu ya Kinondoni (KMC) dhidi ya Ruvu Shooting utakaochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, wakati Kagera  Sugar watavaana na Dodoma Jiji katika dimba la Jamhuri, Dodoma.

Timu ya Mwadui  watakuwa nyumbani kwenye Uwanja Mwadui Complex, mkoani Shinyanga kukwaruzana na Mbeya City.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -