Tuesday, November 24, 2020

Infantino: Soka bila Mourinho ‘halinogi’

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

MILAN, Italia

RAIS wa Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Gianni Infantino, amesema mchezo huo usingekuwa na raha iwapo kusingekuwa na watu wenye mwonekano wa kupendwa kama Jose Mourinho.

Mourinho, ambaye kwa sasa anakinoa kikosi cha Manchester United ya England, anajulikana kwa kauli zake tata na matukio yake ya kufurahisha na kukera, lakini kwa kipindi chote cha kazi yake hiyo ya ukocha anabaki kuwa ni mtu maarufu ndani ya mchezo wa soka.

“Mourinho amefanya mazuri kwenye mchezo huu wa mpira wa miguu na ataendelea hivyo hivyo,” Infantino aliliambia gazeti la Sky Sport Italia.

“Wapo wanaompenda na wanaomchukia, mimi nipo kwenye kundi la kwanza. Tunawahitaji watu wa aina yake kwenye ulimwengu wetu, wabunifu wanaosema kile wanachokifikiri na hawana wasiwasi wa kuwa upande wa kidiplomasia.

“Tunawahitaji mno watu kama hawa kwenye soka na Mourinho ni mmoja wao, yeye ni mkongwe kwenye mchezo huu.”

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -