Monday, October 26, 2020

Ipo siku kichuya atauwa mtu

Must Read

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa...

NA SAADA SALIM

HUYU Shiza Kichuya ana balaa sana. Kama unadhani kwamba anawatesa mabeki kwenye mechi tu basi umekosea sana, kwani winga huyu mambo yake ni makubwa hata kwenye mazoezi ya timu hiyo.

Kichuya amekuwa mchezaji wa kutegemewa katika kikosi cha Wekundu hao wa Msimbazi, Simba jinsi anavyoonyesha kiwango kizuri hasa kuwasumbua zaidi mabeki wa timu pinzani.

Winga huyo anaendelea kuwatesa sana mabeki wa timu pinzani pale wanapokutana katika mechi, lakini si kwa wapinzani tu, bali hata kwa mabeki wa timu yake.

Katika mazoezi yaliyofanyika juzi katika Uwanja wa Boko Veterani, Kichuya alimsumbua beki wa timu hiyo, Hamad Juma, ambaye alikiona cha moto wakati alipokuwa kikosi tofauti na Kichuya.

Hamad alishindwa kumzuia Kichuya kutokana na kasi aliyonayo kwa kutimiza majukumu yake aliyopewa na kocha wao, Joseph Omog na kumwacha beki huyo akimvuta kizibao cha mazoezi.

Katika harakati za beki huyo kutaka kumzuia, alishindwa na hatimaye kufanikiwa kumvuta kizibao hicho na mwisho wake kukichana, hata hivyo alishindwa kumzuia ambapo krosi hiyo ilizaa bao zuri lililofungwa na Mohammed Hussein ‘Tshabalala’.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake za Pluto Republic, prodyuza nyota...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa Bongo Fleva kuendelea kulipa sapoti...

JB Maeba atimiza ndoto zake na Cannibal

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII wa Afro Pop na Bongo Fleva anayeishi Kenya, James Tesha a.k.a JB Maeba, amesema anafurahi...

‘Certified Lover Boy’ ya Drake yaiva

TORONTO, CANADA RAPA nyota ulimwenguni, Aubrey Graham maarufu kama Drake, ametangaza habari njema ya ujio wa albamu yake ya...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -