Thursday, December 3, 2020

IVANOVIC ASTAAFU RASMI TENISI

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

BELGRADE, Serbia


KINARA wa zamani wa mchezo wa tenisi na mshindi wa French Open, Ana Ivanovic, ametangaza kustaafu mchezo huo akiwa na umri wa miaka 29.

Unaweza kuona umri wake bado ni mdogo kupumzika, lakini Ivanovic alitoa sababu kwamba tatizo la majeruhi ndilo lililomfanya aamue kukatisha miaka yake 13 ya kutesa kwenye mchezo huo akikumbukwa kwa kiwango bora alichokionesha hadi kushinda Roland Garros mwaka 2008 na kukamata nafasi ya kwanza kwa viwango upande wa wanawake.

“Nimeamua kustaafu tenisi,” alisema Ivanovic katika video iliyowekwa kwenye ukurasa wake wa Facebook.

“Ulikuwa ni uamuzi mgumu lakini nina mengi ya kufurahia juu ya maisha yangu kwenye mchezo huu. Nilianza kuipenda tenisi nilipokuwa na miaka mitano, huku nikimtazama Monica Seles kwenye TV akicheza.

“Wazazi wangu wamekuwa pamoja nami kwa kipindi chote nilichotwaa mataji, hivyo sidhani kama nimefanya kosa kustaafu sasa,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -