Saturday, October 31, 2020

JABIR AJIGAMBA KUIPELEKA FRIEND RANGERS LIGI KUU

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA FRANCIS MACHA (TUDARCO)


MCHEZAJI wa zamani wa Simba na Taifa Stars, Jabir Aziz, ambaye kwa sasa anachezea Friend Rangers, amejigamba ataipeleka timu hiyo Ligi Kuu Tanzania Bara katika msimu wa 2019/20.

Friends Rangers, inayojiandaa na Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara, inaendelea na mazoezi katika Uwanja wa Shule ya Msingi ya Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam.

Jabir, ambaye ni nahodha wa timu hiyo, alisema wanaendelea kujipanga ili waweze kutimiza malengo baada ya msimu uliopita kushindwa kupata nafasi ya kucheza Ligi Kuu Bara.

Alisema atatumia uzoefu wake kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri msimu mpya utakapoanza mwezi ujao.

“Msimu uliopita tulikosa pointi tatu tu kucheza Ligi Kuu, msimu huu tunarudi na mbinu nyingine mpya kuhakikisha tunafanya vizuri,” alisema Jabir.

Wachezaji wengine wanaounda kikosi hicho ni pamoja na kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Ramadhan Chombo ‘Redondo’, Hassan Simon Nkomala na Cosmas Rewis.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -