Monday, October 26, 2020

JAHAZI YAMKABIDHI ALLY J MIKOBA YA MZEE YUSUPH

Must Read

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa...

NA KYALAA SEHEYE

KUNDI la muziki la Jahazi Modern Taarab sasa limeamua kumchukua mtunzi na mpiga kinanda mkongwe, Ally Juma ‘Ally J’, ili azibe nafasi iliyoachwa wazi na Mfalme Mzee Yusuph aliyeachana na muziki na kugeukia dini.

Akizungumza na Papaso la Burudani, mlezi wa bendi hiyo, Juma Mbizo, alisema safu yao ya kinanda ilipwaya hivyo wameamua kumchukua Ally J kwani ni mpiga kinanda mzuri sana.

“Watanzania wanamjua Ally J na kazi zake ni moja ya wapiga kinanda na mtunzi aliyekuwa anamuumiza kichwa Mzee Yusuph, hivyo tumeona hatuna budi kumchukua kutoka Five Stars,” alisema Mbizo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake za Pluto Republic, prodyuza nyota...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa Bongo Fleva kuendelea kulipa sapoti...

JB Maeba atimiza ndoto zake na Cannibal

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII wa Afro Pop na Bongo Fleva anayeishi Kenya, James Tesha a.k.a JB Maeba, amesema anafurahi...

‘Certified Lover Boy’ ya Drake yaiva

TORONTO, CANADA RAPA nyota ulimwenguni, Aubrey Graham maarufu kama Drake, ametangaza habari njema ya ujio wa albamu yake ya...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -