Saturday, November 28, 2020

Jaydee kwenye penzi jipya

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

MSANII Judith Wambura ‘Jaydee’ ametoa fumbo kwa mashabiki wake baada ya kuweka ujumbe tata kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Jaydee, tangu ameachana na mumewe, Gardiner G Habash, hajawahi kuonekana na mwanamume aliyehisiwa kuwa ni mpenzi wake. Na sasa kwa picha alizoweka Instagram, kuna uwezekano wa kuwa amerejea kupenda tena.

Licha ya kuweka picha akiwa na mwanamume huyo, Jaydee kwenye ukurasa wake wa Instagram anamaanisha kuwa amefunga ndoa tayari.

Kwenye ujumbe wake aliandika kwenye ukurasa huo: “Big shout out kwa Coastal Air, kwa kufanikisha safari yangu kwenda honeymoon, Zanzibar Island,” alisema Jide kwenye picha akiwa amesimama pembeni ya ndege waliyokodi na mwanamume huyo ambaye ni mgeni machoni mwa wengi.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -