Tuesday, October 27, 2020

JKU WAMALIZA KAMBI MALAWI, KUREJEA LEO

Must Read

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa...

NA IBRAHIM MAKAME, ZANZIBAR

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Zanzibar, JKU, wamemaliza kambi yao ya muda mfupi nchini Malawi walikokwenda kwa maandalizi ya msimu mpya wa 2018/19.

Taarifa ya msemaji wa klabu hiyo, Salim Ahmed, imeeleza kuwa msafara wa watu 19 ndio uliokwenda Malawi kuanza maandalizi ya mchezo wa ngao ya hisani utakaopigwa Oktoba 18, mwaka huu lakini leo unatarajia kurejea nchini.

Klabu ya JKU inajiimarisha ili kujiweka fiti kabla ya kuanza kuchuana vikali katika Ligi Kuu na michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika.

Aidha, alisema licha ya mfumo wa Ligi Kuu ya Zanzibar kubadilika na kupangwa kuchezwa kwa mfumo wa ligi moja, wamejipanga kuleta ushindani mkubwa ili kutetea mataji yao na  kuweka historia kubwa visiwani humo.

Baada ya kumenyana na KMKM katika mchezo wa ngao ya hisani, JKU itaanza harakati zake kwenye Ligi Kuu kwa kufungua pazia Oktoba 21, mwaka huu kwa kuwavaa wapinzani wao hao hao.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake za Pluto Republic, prodyuza nyota...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa Bongo Fleva kuendelea kulipa sapoti...

JB Maeba atimiza ndoto zake na Cannibal

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII wa Afro Pop na Bongo Fleva anayeishi Kenya, James Tesha a.k.a JB Maeba, amesema anafurahi...

‘Certified Lover Boy’ ya Drake yaiva

TORONTO, CANADA RAPA nyota ulimwenguni, Aubrey Graham maarufu kama Drake, ametangaza habari njema ya ujio wa albamu yake ya...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -