Friday, October 23, 2020

Joe Hart kuwa mrithi wa Courtois Chelsea

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

LONDON, England

TIMU ya Chelsea inasemekana kumfukuzia mlinda mlango wa Manchester City, ambaye anakipiga kwa mkopo wa muda mrefu katika klabu ya Torino, Joe Hart, ili aweze kuwa mrithi wa nyota wao, Thibaut Courtois.

Hatua hiyo ya Chelsea inasemekana kuja baada ya Courtois kuendelea na msimamo wake wa kuwa na ndoto za kutaka kurejea nchini Hispania.

Gazeti la The Sun linaeleza kuwa, endapo ataonesha kiwango kizuri kwa sasa anapocheza kwa mkopo, itamfanya kurejea kwenye michuano ya Ligi Kuu England kutokana na kwamba Chelsea  na  Everton zinamfuatilia nyota huyo mwenye umri wa miaka  29.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -