Wednesday, November 25, 2020

JONES KUPIGWA ‘X-RAY’ YA KIDOLE CHA MGUU

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LONDON, England

BEKI Phil Jones anatarajiwa kufanyiwa uchunguzi kwenye kidole cha mguu wake baada ya kuumizwa na mchezaji mwenzake wa timu ya taifa ya England, Chris Smalling, mapema wiki hii kwenye mazoezi ya kikosi hicho kinachojiandaa na mechi za kufuzu kucheza Kombe la Dunia 2018.

Jones hakusafiri na wenzake kuelekea jijini Dortmund kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Ujerumani, uliotarajiwa kupigwa usiku wa kuamkia leo, ambapo alienda kufanyiwa vipimo vya ‘X-ray’.

Kama maumivu hayo yatakuwa makubwa kiasi cha kumweka nje ya uwanja kwa muda mrefu, utakuwa ni mtihani kwa meneja wa United, Jose Mourinho ambaye anajiandaa kuiongoza timu yake kucheza mechi tisa mfululizo za mwezi wa Aprili.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -