Friday, October 30, 2020

JUDO PEMBA WAPIGWA JEKI

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA SHARIFA MMASI

WACHEZAJI 15 wa judo Pemba wamefanikiwa kupata tiketi za boti kutoka Baraza la Michezo la Zanzibar (BMTZ), kwa ajili ya kushiriki michuano ya Budocan, itakayoanza kesho visiwani humo.

Akizungumza na BINGWA jana, makamu wa rais wa Chama cha Judo Zanzibar (ZJA), Mohammed Khamis, alisema wamefurahia ujio wa timu ya Pemba katika mashindano hayo.

“Baada ya wadau kupaza sauti za kuitafutia timu tiketi za boti kuja Zanzibar kushiriki michuano ya Budocan, sasa BMTZ wametuonyesha ushirikiano mkubwa kuhakikisha kisiwa hicho kinashiriki kwa mara ya kwanza katika mashindano haya,” alisema Mohammed.

Alisema timu nne zimethibitisha kushiriki mashindano hayo, ikiwamo wenyeji Zanzibar, Pemba, Moshi na Kisutu Klabu ya jijini Dar es Salaam.

Mohammed alisema mashindano hayo ya wazi yatafanyika kwa siku moja kwa lengo la  kumpata bingwa wa jumla kulingana na uzito uliowekwa kwa wanaume ambao ni kilogramu 60, 66, 73, 81, 90 na 100, huku wanawake wakipewa fursa ya kushiriki kwa uzito walionao kila mmoja.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -