Tuesday, November 24, 2020

JUMA LUIZIO AMCHAMBUA ‘MKATA UMEME’ WA YANGA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA SAADA SALIM,

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Juma Luizio, aliyekuwa akikipiga katika klabu ya ZESCO United ya Zambia, aliyetua Simba kwa mkopo, amemchambua kiungo wa Yanga, Jastine Zulu, kwamba ni mchezaji mzuri, lakini anayetakiwa kupewa muda ili kujenga uhusiano na wenzake.

Yanga imemsajili Zulu, ambaye amechukua nafasi ya Meshack Chaila, ambaye ilikuwa chaguo la kwanza la kocha George Lwandamina, lakini ilishindikana kwa kuwa mchezaji huyo amepata ofa Afrika Kusini.

Akizungumza na BINGWA, Luizio alisema anamfahamu vizuri Zulu, kwamba ni mchezaji mzuri, kwani ni chaguo la pili kwa aliyekuwa kocha wao, Lwandamina, anapokosekana Zulu.

Alisema Zulu atafanya vizuri sana katika kikosi cha timu hiyo baada ya kuzoea mazingira ya Tanzania pamoja na kuzoeana na wachezaji wenzake.

“Unajua kwa ushindani wa namba uliokuwepo katika kikosi cha Zesco kimesababisha asipate nafasi ya kucheza na kukaa nje kwa muda mrefu, naamini akipata mazoezi hapo atakuwa vizuri,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -