Wednesday, November 25, 2020

Juve watua kwa Lukaku

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

TURIN, Italia

KLABU ya Juventus imewatuma maskauti wake kumfuatilia staa wa Everton, Romelu Lukaku.

Straika huyo wa kimataifa wa Ubelgiji amekuwa moto wa kuotea mbali msimu huu akiwa amefunga mabao saba na ‘asisti’.

GENEVA (SWITZERLAND) 08-09 September 2013 Wilson Hotel/E.C.A. GENERAL ASSEMBLY/SPORT/SOCCER/ph Fabio Bozzani/In the image KARL HEINZ RUMMENIGGE-BAYERN MUNCHEN

Rummenigge: Schweinsteiger ondoka OT

MUNICH, Ujerumani

MTENDAJI mkuu wa Bayern Munich, Karl-Heinz Rummenigge, amemtaka staa wa Manchester United, Bastian Schweinsteiger, kuachana na Manchester United.

Schweinsteiger amekosa namba chini ya Jose Mourinho na sasa Rummenigge anataka kuona Mjerumani mwenzake huyo akitimka klabuni hapo.

Sead

Chelsea wamfukuzia Schalke

LONDON, England

CHELSEA wameanza harakati za kuifukuzia huduma ya beki wa Schalke, Sead Kolasinac.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 23, hajasaini mkataba mpya na wakali hao wa Bundersliga na ule wa sasa utafikia tamati mwishoni mwa msimu huu.

Matteo

Man United waitajia Inter dau la Darmian

MANCHESTER, England

MANCHESTER United wamewaambia Inter Milan kuwa watalazimika kutoa pauni milioni 19 kama wanamtaka Matteo Darmian.

Mlinzi huyo wa kulia yuko tayari kuondoka Old Trafford wakati dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa hapo Januari.

Il giocatore della Nazionale Simone Zaza durante la conferenza stampa al centro tecnico di Coverciano 2 settembre 2014 ANSA/MAURIZIO DEGL INNOCENTI

Zaza awatoa udenda Milan

LONDON, England

AC Milan wako tayari kuweka mzigo mezani ili kuinasa saini ya Simone Zaza anayekipiga kwa mkopo pale West Ham.

Nyota huyo anayetokea Juventus ameshindwa kuendana na kasi ya Ligi Kuu England.

minna

Man City, Barca uso kwa uso kwa Mina

MADRID, Hispania

IMERIPOTIWA kuwa klabu za Manchester City na Barcelona zipo kwenye vita kali ya kuiwania saini ya Yerry Mina wa Palmeiras.

Beki huyo mwenye umri wa miaka 22, amekuwa kwenye kiwango kizuri msimu huu akiwa amefunga mabao manne katika mechi 10.

Geoffrey

Marseille kuitibulia Liver kwa Kondogbia

PARIS, Ufaransa

WAKALI wa soka la Ufaransa, Marseille, wametajwa kuivamia Liver kwenye mpango wa kumsajili Geoffrey Kondogbia anayeichezea Inter Milan.

Liver wamekuwa wakimtaka Mfaransa huyo kwa kipindi kirefu lakini sasa Marseille nao wamejitosa kuiwania saini yake.

Edinson-Cavani

Arsenal ‘wajikoki’ kwa Cavani

LONDON, England

IMEELEZWA kuwa Arsenal wameanzisha mpango wa kuhakikisha wanainasa huduma ya straika Edinson Cavani.

Hata hivyo, tayari Nyota huyo ameonesha kutamani kuendelea kukipiga PSG na kuna taarifa kuwa ameanza mazungumzo ya mkataba mpya klabuni hapo.

@@@

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -