Wednesday, October 28, 2020

Jux kutumia ‘mic’ yake binafsi

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA ESTHER GEORGE,

KATIKA kufanya mabadiliko ya muziki wake, staa wa singo ya Wivu, Juma Mussa ‘Jux’, amesema hivi sasa kwenye maonyesho atakuwa anatumia kipaza sauti ‘mic’ yake binafsi tofauti na zile zinazowekwa jukwaani.

Jux ameliambia Papaso la Burudani kuwa ameamua kufanya hivyo ili kuwa tofauti na wasanii wengine na mabadiliko hayo yataendelea sehemu nyingine mbali na kutumia kipaza sauti chake.

“Nitaanza kwa kutumia mic yangu binafsi kwenye kila onyesho ninalofanya, halafu baadaye nitafuata kwenye utunzi wa nyimbo na mwonekano wangu kwa ujumla. Huu ni wakati wa kufuata nyayo za wanamuziki wa kimataifa ambao huwa wanamiliki vifaa vyao binafsi vya muziki,” alisema Jux.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -