Sunday, November 29, 2020

Kabaddi kushiriki michuano ya dunia India

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA WINFRIDA MTOI,

TIMU ya Tanzania ya mchezo wa kabaddi inaondoka leo kuelekea nchini India kushiriki michuano ya dunia inayotarajiwa kuanza keshokutwa hadi Novemba 17, mwaka huu.

Mchezo huo ambao una asili ya India, tangu umeanza kuchezwa hapa nchini miaka michache iliyopita, hii ni mara ya kwanza timu ya Tanzania kushiriki michuano mikubwa kama hiyo.

Akizungumza na BINGWA jana, Mwenyekiti wa Klabu ya Kabaddi Tanzania, Abdallah Nyoni, alisema wanakwenda kushiriki michuano hiyo ya dunia kama timu alikwa.

Alisema watakuwa na msafara wa watu 34 ukijumuisha timu ya wanaume yenye wachezaji14 na wanawake (13) na kwamba mkuu wa msafara atakuwa Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Mohammed Kiganja.

Nyoni alisema wamefanikiwa kushiriki michuano hiyo baada ya kupata udhamini na wanaahidi kufanya vizuri kwenye michuano hiyo licha ya kuwa wanashiriki kwa mara ya kwanza.

“Mchezo wa Kabaddi una asili na misingi ya India na tumeweza kupata wachezaji wengi hapa nchini kwa sababu  mtu yeyote anaweza kucheza hata kama awali alikuwa anashiriki soka au mchezo mwingine,” alisema Nyoni.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -