Thursday, October 29, 2020

KABLA YA ‘BIRTHDAY’ WEMA SEPETU AINGIZA MKWANJA MREFU

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA JEREMIA ERNEST


 

IKIWA imebaki siku moja mrembo na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, asheherekee kumbukizi ya kuzaliwa kwake pamoja na kuzindua filamu ya Day After Death (D.A.D), aliyoshirikiana na staa wa Ghana, Van Vicker, mwigizaji huyo amefanikiwa kuuza kadi zote na kuingiza shilingi milioni 28,500,000.

Wema Sepetu anatarajia kufanya shughuli hiyo kesho katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, aliingiza mkwanja huo baada ya kuuza kadi za meza 30 pamoja na kadi binafsi 270.

Akizungumza na Papaso la Burudani, Mwenyekiti wa shughuli hiyo, Martin Kadinda, alisema sababu ya kufanya hivyo ni shauku waliyonayo mashabiki wa Wema Sepetu kutokana na kutofanya sherehe yoyote kwa muda wa miaka miwili.

“Tuliandaa kadi kwa makundi mawili meza 30 ambazo kila meza tumeuza shilingi 500,000 na kadi 270 ambazo moja imetolewa kwa shilingi 50,000, kwa hiyo zimeisha, mbali na sherehe ya Wema na kuzindua filamu pia kutakuwa na burudani kutoka kwa The Mafik,” alisema Kadinda.

Miongoni mwa mastaa walionunua kadi za meza ni Jacqueline Wolper, Irene Uwoya, Rose Ndauka, Zamaradi Mketema na Vanessa Mdee.

Aidha, Van Vicker kutoka Ghana amewasili leo saa 10 alfajiri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -